Benitez kujiuzulu mwezi Mei. zaidi soma hapa,,,,,



Rafael Benitez
Rafael Benitez, amesema kuwa atakihama klabu ya Chelsea mwezi Mei Mwaka Huu Rangi kutaja uamuzi wa kuumpa wadhifa wa kaimu kocha wa klabu hiyo kama kosa kubwa.
Akiongea baada ya kuongoza Chelsea kushinda klabu ya Middlesbrough to magoli mawili to bila katika mechi ya raundi ya tan ya kuwania Kombe la FA, kocha huyo wa Kutoka Uhispania, wapotovu mbovu aliwashutu mashabiki wa klabu hiyo.
Katika mahojiano na BBC, Benitez amesema uamuzi wa Chelsea wa kuumpa cheo cha kaimu kocha wa klabu hiyo ilikuwa kosa to sababu yeye ndiye kocha MKUU to Sasa.
Amesema mashabiki wao hawajawapa msaada wanaohitaji Rangi hivyo ameamua kuondoka Mwisho wa msimu Huu.
'' Mashabiki Sasa hawana sababu ya kunung'unika kunihusu'' Alisema kocha huyo.
Mashabiki wa Chelsea wakiwa Rangi mabango ya kumtaka kocha huyo kufutwa Kazi
Tangazo la kocha huyo HILO wa Zamani wa Liverpool limejiri baada ya baadhi ya mashabiki wa klabu huyo kumdhihaki baada ya mechi Yao Rangi Middlesborough.
Kocha huyo Mwenye umri wa miaka 52, hajapata uungwaji Mkono Kutoka to mashabiki wa klabu hiyo tangu alipoteuliwa kuchukua mahala pa Roberto Di Matteo mwezi Novemba Mwaka uliopita.
Katika mechi nyingi zilizopita za Chelsea, mashabiki wa klabu hiyo hawakuficha hisia za 

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget