JAY Z, BEYONCE WAFANYIWA VIBAYA NA MACKERS zaidi soma hapaaaaaa
JAY Z, BEYONCE WAFANYIWA VIBAYA NA MACKERS zaidi soma hapaaaaaa
![]() |
Jay Z na Beyonce |
Wahalifu hawa ambao ni wataalam wa technolojia maarufu kama - Hackers, wameenda mbali zaidi na kuwafanyia uhuni huu pia Makamu wa Rais wa Marekani, Bwana Joe Biden pamoja na aliyekuwa waziri wa mambo ya nnje wa nchi hiyo Bi. Hillary Clinton.
![]() |
Joe Biden |
![]() |
Hillary Clinton |
![]() |
Kim Kardashian |
Ashton Kutcher |
![]() |
Mel Gibson |
![]() |
Paris Hilton |
Wahuni hawa hawa ndio waliohusika katika kuvujisha orodha ya ngoma ambazo zitakuwa katika albam mpya ya Beyonce lakini taarifa mpya zinaweka wazi kuwa, orodha waliyoitoa siyo sahihi na ni ya uongo.
Post a Comment