wadaiwa kupenda hiphapo kuliko chochote , watoto wa arusha.


wadaiwa kupenda hiphapo kuliko chochote , watoto wa arusha.
Nilifanya interview fupi na hawa Watoto Ngarenaro Arusha ambapo walinitajia kama vile wameambiana, baadhi ya Wasanii wanaowazimia ni pamoja na Jambo Squad na Watengwa… hawa Watoto wenyewe wanalo kundi lao la muziki na wanasema siku moja ndoto yao itatimia kwa kuingia studio…… unaweza kuwatazama hapa chini!

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget