ALICHOKUWA AMEPANGA KUKIFANYA DAVID RIMISHO HIKI HAPA,,na hatima yake ilivyokuwa

Siku chache baada ya Daid Rimisho kumaliza elimu yake ya stashahada katika chuo ha Uandishi wa habari na utangazaji ajtc alikua akinieleza hisia zake na kiu kubwa aliyokua nayo na katika mazungumzo yangu mimi na yeye alikua akinieleza juu ya lengo lake la msingi ambalo ni kujiunga na JESHI LA WANANCHI malengo haya ya DEVID yalionekana kuchukua nafasi kubwa katika kichwa chake kwani kila siku alionekana kulizungumzia swala hili lakini siku zote mipango ya mungu huwa haivunjwi na malengo ya kibinadam

Lakini katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wengi wameshindwa kuamini kilicho tokea na katika mitandao ya kijamii walikua na haya ya kusema..

Mtaki R Muyenjwa Gamba
Nakumbuka siku moja nilimkuta Kwamorombo, kidogo akauguwa ghafla na kukaribia kuangukia kwenye mafuta ya kula ambayo yalikuwa yana kaangiwa maandazi. Ikanilazimu nimsaidie class met wangu.
R.I.P Devd Rimisho.
Like · · Share · 4 hours ago via Mobile ·

  • Shaddy Mwana Wa Njemba, Linnah William, Deogratius P Kessy and 2 others like this.
  • View 17 more comments
  • Florah Barongo mungu wang wat happen lord! some1 talk 2 plz?
    38 minutes ago via mobile · Like
  • Munirah Hemed Duh. Ni bonge la pigo. Ameumwa au alipatwa na nini jamani mwenye picha yake arushe basi maana kumbukumbu haipo
    25 minutes ago · Like · 1
  • Godlisten E Chaachawe R.I.P joh..bandugu mwenye pic yake fanya kama mnaishea kwe wall yang
    21 minutes ago via mobile · Like
Neema Mollel
ni majonzi makubwa kwa chuo kizima cha ARUSHA JOURNALISM COLLEGE,kwa kumpoteza mwanafunzi wao DAVID RIMISHO siku ya leo.may almight god give us strength.R.I.P DAVID RIMISHO from selous class.
Like · · Share · 9 hours ago ·

  • Shaddy Mwana Wa Njemba, Linnah William and 4 others like this.
  • 1 share
  • View 30 more comments
  • Dinne Shose ni yupi huyo jamani...poleni wana ajtc
    2 hours ago · Like
  • James Jovin OOOOOOOH BOY mungu wangu weeee RIP DAVIDI daaa yani sijui niseme nini hivi ni kweli kabisa
    2 hours ago · Like

    Shaddy Mwana Wa Njemba
    sikujua kama itakuwa mapema hivi lakini ndio hivyo imekuwa ama kweli hakuna ajuaye kesho hata mtunzi wa calender R I P Broo david rimisho kazi yake mora haina makosa mungu akupumzishe salama kila nafsi itaonja mauti ameni
    Like · · Share · 2 hours ago via Mobile ·

    • Shaddy Mwana Wa Njemba and Hilda Kileo like this.
    • View 3 more comments
    • Gift Kisetu Amen,
      about an hour ago via mobile · Like · 1
    • Shaddy Mwana Wa Njemba apuzike salama dav
      about an hour ago via mobile · Like
    • Coolbaby Isaack R.I.P DAV
      13 minutes ago via mobile · Like
      Options

      Doroth Luiza
      R.I.P ma collegemet davy jamani so pain
      Like · · Share · 9 hours ago via Mobile ·

      • Neema Mollel and 3 others like this.
      • View 5 more comments
      • Charles Kikoricho R.I.P
        8 hours ago · Like
      • Brian Cosmas Thr r thngs tht w dnt wnt 2 hpn bt hv 2 acpt!Thngs tht w dnt wnt 2 knw bt hv 2 lrn!Pple tht w cnt liv wtht bt hv 2 lt go
        6 hours ago via mobile · Like
      • Maarifa Kabanga kufa kwetu n lazma bt kunaumza R.I.P
        about an hour ago via mobile · Like
      **************************END*************************************
      Taarifa hizi zimesambaa mapema leo asubuhi katika mitandao may 8 2013 ambapo inasemekana Mwanafunzi huyo Davidi  Rimisho alikutwa chumbani akiwa amefariki na baadhi ya majirani kwani alikuwa anaishi kwenye chumba nje kidogo ya chuo hicho almaarufu (Gheto) ambapo bado haijabaainika nini chanzo cha kifo hicho ijapokuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa marehem alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kuzimia pengine ndio uliopelekea kifo chake baada ya kukosa msaada chumbani kwake..... izabree.blogspot.com itakuletea muendelezo wa kisa hiki         

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget