ANGALIA HALI HALISI ILIVYOKUWA JANA MKOANI IRINGA,,



BREAKING NEWS..............MACHAFUKO MAKUBWA IRINGA MACHINGA WAFANYA VURUGU FFU WATUMIA MABOMU

 Polisi  wakipita  eneo la Mashine  tatu asubuhi  hii
 Abiria  na  wapiga  debe  stendi kuu  wakinawa maji baada ya  kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha  na askari  wa FFU leo


 Hali  ikiendelea  kuwa  tete  kwa machinga  kufunga barabara  kuu  ya  Iringa  Dodoma na ile ya mashine  tatu
Ni Machafuko  Iringa  hivi  leo




picha zote kwa msaada wa blog ya Emanuel

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget