PICHA 10 ZA LIVE YA CLOUDS TV SIKU YA MAY 1 2013

Ilikua
ni time ya kuwaona Watangazaji mbalimbali wa Clouds TV kwenye matangazo
ya Live kutoka Escape One Mikocheni Dar es salaam wakiamplfy kuhusu
msimu uliopita na kisha page mpya…. cha kufanya ni kuwa kuimiliki remote
yako kupitia channel 109 Startimes kufahamu kinachofata, pia unaweza
kujiweka karibu zaidi ya @Clouds_TV kwenye twitter.
Post a Comment