Kama umepitwa na Ngumi za bungeni huu ndio muda wa kujionea,, vurugu mwendo mdundo,,
izabreez.blogspot.com Ni vurugu ambazo zimetajwa kutokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati wa mjadala wa muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.
Post a Comment