BREAKING NEWS: Makamu wa Rais (Dk. Bilal)

Kamanda Suleiman Kova, Mkuu
wa Mkoa
wa
Dar na Dk. Magufuli wanusurika
katika ajali
ya helikopta.
Katika kukagua uharibifu wa
miundombinu
uliosababishwa na mvua kubwa
katika Jiji
la
Dsm, Makamu wa Rais Dk.
Mohamed Gharib
Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu
wa Mkoa wa
Dar, Meck Sadiki na Afande
Kova
wamenusurika ajali ya helikopita
iliyotokea
leo Jijini Dsm.
Jamani tumuombe mwenyezi
Mungu
awalinde hawa viongozi wetu
wapendwa
waliokuwa katika kuwatumikia
watanzania.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget