1. SMAT
Hataki kupatikana akiwa kawaida
hata kama ni midnight, Yaani ni
msafi hadi anachana nywele
akienda kulala then anapiga
blanketi pasi.
2. SECURITY CODE KWA SIMU,
Huwezi access any detail from
simu yake because hata
akikuonesha pasword kesho yake
anabadili ingine
3. AKIPIGIWA SIM MKIWA NAYE
Replies zake zinakuaga short
because hataki usikie Story zake
viburudisho Vyake.
Majibu yake yanakuaga tu, eeehh,
sawa, okay,nimeskia, bye, donge?,
4. UNAMTUMIA MESSAGE BUT
ANAREPLY 1HOUR LATER,,,
Then excuse zake ni ati, ooh swty
Iwoz vry bizy, oooh nlikua
nimeseti silent mode, ooh nilikuwa
ndani gari.
5. ANAKUAGA CLOSE NA MADEM
WENGI,,,,
Then anazuga eti oooh,,, she'z just
a friend,,,,ooh,,, niligrow/nilisoma
naye,,, blah blah.
MWANAWANEE UWONGO
UWONGO ?WADADA CHUNGUZENI
KABLA YA KUJIBU PLS
Post a Comment