*MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel
Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii.
Marehemu amepoteza maisha mara baada ya
kujifungua. MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!*
auya h
Bado tunawasiliana na msemaji wa familia
kujua nini kinachoendelea
CREDIT BLOG NYINGINE
Post a Comment