Diamond Plutnumz akosa tuzo za MtV
alizokuwa akiwania Best Male Amechukua
Davido....
Ila diamond atabaki kuwa msanii Mzuri
Tanzania kwani Anatarajiwa kufanya kolabo
na wasanii wa Mbele kama vile
Mafikizolo,Iyanya,na hata Trey Songz mungu
mwongoze diamond aipeperushe bendera ya
Tanzania Vema......
Post a Comment