Vurugu kubwa zatokea katika ugawaji wa vitalu vya biashara katika kituo kipya cha makumbusho
 |
Misululu
mikubwa wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya
kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu |
 |
Kila mtu anasubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho |
 |
wengine wakiwa hawajui hatima yao katika uagwaji wa vitalu vya biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho |
 |
misululu
ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri
kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa
makumbusho |
 |
PICHA ZOTE NA FRANCO SINGAILE WA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG |
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget
Post a Comment