Askari wa jeshi la polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya mkoa huo baada ya kurushiwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bom

Askari wa jeshi la polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa vibaya na kulazwa katika hospitali ya mkoa huo baada ya kurushiwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu wakati wakiwa katika doria.kwa muujibu wa uchunguzi wa izabreez kauli zisizo rasmi zimebaini kuwa ni mgogoro baina ya madereva wa bodaboda ulioanzishwa na askari hao baada ya kumpiga dereva toyo risasi ya mguu siku chache zilizopita Chanzo radio one na., Izabreez. Com

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget