'Haiwezekani binadamu kuhudumiwa kama mbwa,yaani nafika hospitali naeleza hali yangu halafu Daktari ananiandikia kulazwa bila kupimwa sasa sijui watatibu nini?kwa kweli siwezi kuvumilia yaani wenzangu wanasoma halafu mimi nimekalishwa tu hapa hospitalini bila ya kujua wananitibu nini.Hii ni sehemu tu ya ujumbe.chanzo Eatv..
Post a Comment