
Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia alimetoa taarifa na kusisitiza juu ya udharura wa kuheshimiwa sheria za nchi hiyo.
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imeongeza kuwa, iwapo kundi lolote la Walibya waliopo nchini humo litakiuka sheria za nchi na kuamua kuendesha shughuli za kisiasa au kufanya mikutano bila ya kibali cha viongozi wa serikali ya Tunis, wanachama wa makundi hayo watalazimika kuondoka nchini Tunisia.
Post a Comment