KUPATWA KWA JUA: Baadhi ya matukio ya kupatwa kwa jua katika picha.

Wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na Ulaya, pamoja na wanasayansi wa anga, wapo katika mji wa Rujewa mkoani Mbeya kusini,Magharibi mwa Tanzania, kushuhudia tukio la kihistoria la kupatwa kwa jua kwa kiwango cha asilimia 97 kwa mujibu wa wataalam wa masuala ya anga 

Tukio kama hilo hutokea baada ya miaka mingi,ambapo tukio la mwisho,lilikuwa mwaka 1977







Msomaji na mfuatiliaji wa karibu wa izabreez. nikutake radhi kwa picha hizi za tukio la kupatwa kwa jua kwani haziko katika hali ya ubora ila punde endelea kutufuatilia kwa undani wa habari hii,

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget