ONA JINSI PETR CECH ALIVYOUMIA USIKU WA LEO VICENTE CALDERON

Nje: Kipa wa Chelsea, Petr Cech
akisaidiwa kutoka nje baada ya
kuumia dakika ya 17 katika Nusu
Fainali ya kwanza ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi
ya wenyeji Atletico Madrid Uwanja
wa Vicente Calderon. Timu hizo
zilitoka 0-0. Nafasi ya Cech
ilichukuliwa na Schwarzer
aliyemalizia mcheo vizuri.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget