UNAAMBIWA HAWA NDIYO WASANII WA BONGO FLEVA 10 WENYE TABIA MBAYA ZAIDI HAPA BONGO KULIKO WOTE

1,T.I.D Kauli mbaya na dharau ni
kawaida kwake maneno kama
mseeenge kuuuma na nk
yanauhusiano mzuri na mdomo
wake
2. Chidy Benz Ukisikia kampiga
mtu alafu ukashangaa basi utakua
mgeni nchini na labda kama
hujawai kumsikia msanii
huyu.ngumi ndio maisha yake
sitoshangaa akiingia kwenye
masumbwi mda wowote.alama ya
nondo iliyopo upande wa kulia wa
kichwa chake ndio ishara tosha ya
misukosuko anayokumbana nayo
4. Lord Eyes Unga unga unga huo
ndio wimbo unaomfanya msanii
huyu acheze michezo ya wizi kila
kukicha ni umaarufu tu
unamuokoa watu wanashindwa
kumtenda vibaya sababu
wanamjua mfano ommy dimpoz
aliamua kumpotezea tu kisa
anamfahamu.
5. Hemed Alipokua tusker project
fame aliwai kujibizana na jaji ian
kiasi cha kutaka kupigana .kifupi
ni mtu asiefikiria kabla ya
kuzungumza anaweza kukujibu
jibu lolote bila kutambua kama yy
ni star. Bado hajakua uvumilivu
wa kiutu uzima hana mropokaji
mzuri sana
6. Dully Skyes Matusi kwake ni
kawaida na dharau kidogo hasa za
mdomoni na pia ukiwa unamuhoji
kua makini maana anaweza
akaongea neno baya redioni bila
shaka aliwai kumtongoza dj fetty
hewani na kumtukana suddy
brown hewani lakini ni muelewa
kwani baadae aliomba radhi
uswahili na kukosa shule tu
vinamsumbua
7. Afande Sele Kila mtu
kagombana na mtu huyu hio ni
story ambayo ipo kila kona ya
mtaa kuhusu mtu huyu anaongea
kwa busara ila akipata mambo
yake anaweza kufanya jambo
ambalo litakufanya ufikiche macho
kuhakikisha kama kafanya yeye au
mtu mwingine aliwai kutishia
kuua,kuvua nguo jukwaani, na nk
8. Matonya Huyu yeye ni utapeli
tu ndio tatizo lake ukimpa hela ya
show kua nae makini sana
9. Mh. Temba Ukiwa una sikiliza
nyimbo ya huyu jamaa usikae na
mtu mzima maana utaaibika tu
matusi ni moja ya vitu
anavyopenda kuvitamka na
haonyeshi dalili ya kubadilika kila
siku
10. Dudu Baya
Huyu jamaa yeye ni ngumi
mkononi, ukimzingua kidogo
anakuharibu
Taja Msanii Mwingine unayemjua
ana Tabia Mbayan source

swahil tz

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget