PREZZO NA VERA MAMBO HADHARANI SASA...!! WAAMUA KUACHIA PICHA WAKIWA KATIKAKATI YA DIMBWI LA MAHABA MAZITO..!! TAZAMA HAPA

Baada ya uvumi kuenea zaidi na
zaidi kuwa Prezzo anatoka
kimapenzi na mwanadada Vera
Sidika, Prezzo na Vera wa meamua
kuzidis ha kuwa midomoni mwa
mashabiki wao baada ya kuamua
kuachia picha ikiwaone s ha wakiwa
katika dimbwi kubwa la mahaba,
na wa wili hao kila wauli zwap o
kuwa wapo kwenye mahusia no
wamekuwa hawana jibu la moja
kwa moja na mara nyingine
wanasema bado muda wake,
Tazama picha hapo chini
ikimuonesha Prezzo akiwa kwenye
dimbwi kubwa la Mahaba na Vera
Sidika

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget