VIDEO : SIRI IMEFICHUKA "KUMBE WIKI MOJA KABLA HAJAFARIKI DUNIA MAREHEM SHARO MILIONEA ALIKIJUA KIFO CHAKE



Wakati anazungumzia movie waliyoigiza na marehem sharo milionea , Comedian Kitale ametiririka kwamba Sharo alikiona kifo chake na matendo yake yalikua yanaashiria kifo na mara kwa mara alikua anatumia neno la kifo hata sehem ambazo hazihusiani na neno hilo, kiasi cha kwamba baada ya kufariki ndo Kitale ameanza kuvuta picha matendo ya mshkaji wake, movie hiyo inayoitwa “THE IMPOSSIBLE” haijajulikana itatoka lini, lakini Kitale ameahidi kuwa itatoka mwaka huu kuna michakato inamaliziwa maliziwa.
Kitale alitiririka hayo yote kupitia Take One ya cloudstv

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget