Irene Uwoya Aingia Katika Bifu na Frola mvungi Baada Ya Kusema H-baba Hajui Chochote Katika 6 Kwa 6

Uwoya amchana live mpenzi wa
Flora Mvungi i.e H-baba kwamba
hafai katika mapenzi kwa sababu
hana stamina katika uwanja wa 6
kwa 6. Flora Mvungi naye akaja
juu na kudai kwamba maneno ya
Uwoya ni maneno ya mkosaji na
akadai zaidi kwamba H-baba hana
tatizo katika mapenzi na yuko fiti
ile mbaya.
Wakati malumbano
yakiendelea,dada mmoja akapiga
simu clouds fm,akakataa kutaja
jina lake lakini naye akazidi
kuchagiza kwamba H-baba si
lolote si chochote katika ulingo
wa ma-lovey dovey,ana
mbwembwe za kukata viuno
jukwaani tu.Haya ndio mapenzi ya
ma-star wa ki-bongo.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget