HAPA KAZI TUU, TANESCO WAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KWA WEMA SEPETU AKUTWA AMEJIUNGANISHIA UMEME KINYUME CHA SHERIA (WIZI WA UMEME)

Oparesheni ya TANESCO kukagua nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa imeendelea kama ambavyo kumekuwa na story kwenye vyombo vya habari !!

Story imegusa mitandaoni, ikamfikia Soudy Brown… leo akaanza na kiongozi wa TANESCO, jamaa amesema walifika wakagundua kuna tatizo kwenye mfumo wa mita ya LUKU nyumbani kwa Wema, walipohitaji maelezo ya wanaoishi kwenye nyumba hiyo, Wema hakuwepo na badala yake akatokea Idris.

Soudy Brown akageuka kumcheki IdrisIdris amesema alikuwa anapita kwenda kwenye mishemishe zake ndio akakutana na ishu hiyo ya TANESCO nyumbani kwa Wema, ila hajui chochote kinachoendelea kwa sababu haishi na Wema kwenye nyumba hiyo.
U Heard hii hapa kwenye sauti yote mtu wangu. Habari hii ni kwa hisani ya millardayo+U HEARD

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget