Leo Serikali imetoa utaratibu wa namna ya kuadhimisha siku hiyo, ambapo katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema endapo wafanyakazi watakuwa na kazi muhimu maofisini wanaweza kwenda kama kawaida , vinginevyo washiriki kufanya usafi katika maeneo yao.
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru kesho..

Post a Comment