
Amesema faida za kijamii za muongo mmoja uliopita zilikuwa hatarini.
Rousseff anachunguzwa na ma seneta katika hatua za mwisho za mashtaka yanayomkabili huko Brasilia.
Anatuhumia kwa kuipindisha bajeti ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu.
Kumekuwa na maandamano yanayomuunga mkono Rousseff katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Katika
mji wa Sao Paulo, polisi wametumia gesi ya machozi kuwatawanya
waandamaji.apo rubo tatu ya maseneta watapiga kura dhidi yake mwishoni
mwa juma, basi Rousseff ataondoka madarakani moja kwa moja
sourse bbc swahili
Post a Comment