Mitandao
ya kijamii nchini imeelezwa kuwa sababu ya ya kudorora kwa kwa biashara ya magazeti jijini DAR
ES SALAAM
Wakizungumza
na izabreez.blogspot.com hii leo baadhi ya
wafanya biashara wa magazeti jijini DAR
ES SALAAM wamesema
kasi ya ukuaji wa mitandao ya kijamii
kumesababisha ununuzi wa magazeti kudorora kwa kiasi kikubwa jambo ambalo
linapekea mauzo ya nakala za magazeti kupungua kwa kiasi kikubwa.
Aidha
wameongeza kuwa kwa sasa Watu wengi wamekuwa wakitumia simu zao za mkononi kusoma habari mbalimbali mitandaoni Hali
ambayo inapelekea watu kushindwa kununua
magazeti na kuifanya biashara kuwa ngumu,
Kwa
upande wao baadhi ya wateja wa bidhaa hiyo wamesema kuwa awali kulikuwa na
umuhimu wa kukunua magazeti kwa ajili ya kujisomea lakini kwa sasa ukuaji sayansi
na technologia umerahisisha upatikanaji wa habari jambo ambalo limepunguza uhitaji wa magazeti.
Post a Comment