Waandishi wa Habari tujitokeze kuokoa maisha ya mwenzetu

KIV

Bw. Simon Kivamwo
 
Waandishi wa habari wakitoa damu ili kuwezeshamatibabu ya Mwandishi wa habari mkongwe hapa nchini Bw. Simon Kivamwo ambaye anapatiwa matibabu kwenye
hospitali ya Ocean Raod iluyoko jijini Dar es Salaam leo Agosti 30,2016. 
 
Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari anayeratibu zoezi hilo
Bw.Thompson, Kivamwo ambaye anaugua kwa muda mrefu sasa, amezidiwa na maradhi leo hii na kukimbizwa kwenye hospitali hiyo ambapo madaktari

walihitaji kumuongezea damu. Benjamin Thomspon ametoa wito kwa wanahabari na jamii kwa ujumla kujitokeza kumchangia damu mwanidhi

mwenzetu ili kuokoa maisha yake. Sehemu ya kutolea damu ni Hospitali ya Mnazi Mmoja, Kariakoo jijini Dar es Salaam

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget