Leo
September 02 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya kuzungumza na
wanachi wa Kisiwa hicho.
Aidha Rais
Magufuli ameweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali
Juma Makamu wa Rais wa zamani katika awamu ya Tatu katika kijiji cha
Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Abdallah mara baada ya kuwasili kisiwani humo
Mama
Janeth Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Dkt.
Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani
katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
Magufuli akiweka shada la maua katika Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali
Juma Makamu wa Rais wa zamani katika awamu ya Tatu katika kijiji cha
Wawi Bigilini katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
source millardayo.com
Post a Comment