NI LAZIMA NITOKOMEZE MADAWA YA KULEVYA JIJINI ARUSHA;
Wauzaji wa madawa ya kulevya jijini arusha waingizwa katika changamoto kubwa katika kazi yao haramu baada ya jeshi la polisi kuboresha ulinzi katika maeneo ya miphakani. hali hiyo imedhibitishwa na kamanda wa polisi jijini arusha bwana liberatusi sabas baada ya kukamata madawa ya kulevya zaidi ya taani moja mwishoni mwa wiki.
Post a Comment