Ungo wakatika breki wawadondosha watu watatu singida.
watu watatu watiwa mbaroni mkoani singida baada ya kukutwa wakiwa wamepoteza fahamu kutokana na ungo waliokua wakisafiria kudondoka, Akidhibitisaha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani singida alisema kuwa watu hao walikutwa wakiwa wamepoteza fahamu na pindi walipozinduka waliweza kujitetea kuwa hawakua majambazi bali walikuwa wakitumia njia hiyo ya jadi kusafiria ndipo mwenzao alipovunja sharti la kutokugeuka nyuma na kudondoka, Hata hivyo watu hao bado wamwshikiliwa na jeshi la polisi mkoani singida kwa upelelezi zaidi, kwani uchunguzi wa awali umebaini kuwa watu hao walikua safarini kuelekea kwenye mazishi ya mama mzazi wao
Post a Comment