ANGALIA PICHA ZA RAISI KIKWETE ALIVYOPOKELEWA KAMA MFALME NCHINI NAIROBI

ANGALIA PICHA ZA RAISI KIKWETE ALIVYOPOKELEWA KAMA MFALME NCHINI NAIROBI

Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete, kushoto akiwa na balozi wa Tanzania  akipokelewa na ulinzi mkali nchini Nairobi katika hafla ya kumuapisha rais mteule Uhuru Kinyatta.

Raisi Kikwete kulia akiwa na mkewe wakikabidhiwa zawadi ya mauwa punde baaa ya kutua katika uwanja wa ndege nchini nairobi 

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget