WAFANYA KAZI WA USAFI WA JIJI LA ARUSHA WALALAMIKIA UONGOZI KUHUSIANA NA VITENDEA KAZI HAFIFU

Wafanya kazi wanaousika na usafi wa jiji katika jiji la Arusha Wameuomba uongozi a jiji Kuboresha mazingira yao ya kazi ikiwemo kuwanunulia vitendea kazi ili waweze kufanya kazi katika hali ya usawa pamoja na kuhakikisha usalama wa afya zao.
\
Hayo yamesemwa na wafanya usafi huo kwa shurti ya kutotajwa majina yao ambapo wamefafanua kuwa kwa muda mrefu sas wamekuwa wakifanya usafi bila kuwa na vitendea kazi vya kutosha kama vile glofs, vifaa vya kuvaa mikononi jambo ambalo linawatia wasiwasi kuhusu afya zao

WAFANYA KAZI WA USAFI WA JIJI ;LA ARUSHA WAKIMIMINA UCHAFU KWENYE LORI BILA YA KUWA NA VITENDEA KAZI, picha na Izack Mwacha

Post a Comment

ARUSHA SAFI INAWEZEKANA................................INAANZA NA WANA ARUSHA

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget