Mkurugenzi wa matangazo Radio maria tz Father JOHN MAENDELEO Akiongoza
ibada katika sherehe ya kuanza mwaka
Mhamasishaji msaidizi wa Radio Mria TZ Akisoma neno katika ibada ya
sherehe ya kuanza mwaka
kushiriki EKARIST takatifu
Mwisho wa Ibada
Mtangazaji wa Redio Maria TZ bwana IZACK MWACHA Akifungua shampain kwenye sherehe ya kuanza mwaka
mhamasishaji wa redio maria bi VERONIKA MWITA Akizungumza jambo katika sherehe ya kuanza mwaka
Padre John Maendeleo akitafasiri lugha ya Kiitaliano kutoka kwa mratibu wa radio maria Afrika
bwana Paolo Tarful
Mziki Aina ya Twist ulichukua nafasi kubwa kwenye viwanja vya radio maria
Raisi wa Redio Maria TZ Bw Hamphrey Kira Akiwa na mkewe Silvia Kira kwenye sherehe ya kuanza mwaka
Watangazaji vinara wa Radio maria Fredy willium akiwa na julieth munga
kwenye shereh hizo za kuanza mwaka
Familia ya Redio madia ikijiandaa kucheza katika sherehe sherehe ya kuanza mwaka