Kuna ishu ya mastaa kutosema ukweli kuhusu umri wao, wapo ambao wanajipunguzia miaka na wengine wakiulizwa wanazidisha.
Hapa nimekuwekea pichaz na majina ya
baadhi ya mastaa ambao mwaka 2015 wamesherekea au watasherehekea
kutimiza miaka 50, wengine ukiwaangalia huenda usiamini, umri mkubwa
lakini muonekano ukiwaangalia usoni ni tofauti, wengi wanaonekana ni
vijana kabisa tofauti na umri wao.
Shania Twain, staa mkubwa kwenye muziki Duniani, atatimiza miaka 50 mwaka August 28.
Rapper Dr. Dre, mfanyabiashara, producer wa Muziki na Meneja waWasanii.. Ametimiza miaka 50 February 18.
Rapper KRS-One, jamaa atatimiza miaka 50 tarehe 20 mwezi August mwaka huu.
Martin Lawrence, muigizaji na mchekeshaji staa wa Marekani. Atatimiza miaka 50 tarehe 16 April.
Chris Rock, huyu ni mchekeshaji staa wa Marekani, ametimiza miaka 50 mwezi February, tarehe 7.
kwa hisani ya millardayo
Post a Comment