Rais John Pombe Magufuli
alitangaza kuwa mapema mwezi September Serikali itanunua ndege mbili
kubwa aina ya Bombardier Q400 kutoka nchini Canada ili kuweza kulipa
uhai shirika la ndege la Tanzania (ATCL).
Ikiwa zimebaki siku kadhaa itimie ahadi
ya Rais Magufuli hizi ni picha ambazo zimesambaa kwenye mitandao ya
kijamii lakini bado tunaendelea kutafuta mamlaka husika kuthibitisha
lakini pia kujua taarifa zaidi kuhusiana na ndege hizo mpya.
sourse millardayo.com
Post a Comment