Leo November 9, 2016 Marekani imeweka
historia nyingine baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa
mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa
viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe
Magufuli.
Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter
“
Congratulation President-Elect and people of America for a democratic election,I assure and people of Tanzania for a continued friendship.— Dr John Magufuli (@MagufuliJP)
Post a Comment