Taarifa kuwa wakili mmoja wa kenya
amesema yuko tayari kutoa mahari kwa
mtoto wa raisi wa Marekani,Barrack Obama
zimeenea duniani kote.
Felix Kiprono amesema yuko tayari kutoa
ng'ombe 50,kondoo 70 na mbuzi 30 kwa ajili
ya mahari ya mtoto wa Obama,Malia
Obama.Hivyo anajiandaa kuzungumzia swala
hilo na baba wa mtoto huyo atakapo
tembelea Kenya ,mwezi Julai.
Post a Comment