Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani.
sasa leo August 30, 2016 kupitia
millardayo.com & Ayo TV staa huyo ameipata heshima kwa kueleza
single mbili mpya za Diamond alizosikilizishwa ikiwemo ya staa kutokea
Marekani, French Montana.
‘Nilipofika tu ofisini kwake
kuna vingi sana nimejifunza pia alinionesha bendi yake mpya ambayo
ataanza kuzunguka nayo nchi mbalimbali, pili alinisikilizisha nyimbo
zake mbili mpya aliyofanya na Wizkida nyingine amefanya collabo na
msanii kutoka Marekani French Montana ni kazi nzuri sana’
source:millardayo
Post a Comment