August
18 2016 imetolewa taarifa ya uteuzi wa Rais John Magufuli ambapo
amemteua Mrisho Gambo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha kuanzia leo August 18
2016 baada ya kutengua uteuzi Felix Ntibenda katika mwendelezo wa
kuimarisha safu ya utawala wake .
Uteuzi wa
Gambo unakuja takribani miezi miwili baada ya kuteuliwa kuwa mkuu waa
wilaya ya Arusha mwisho mwa June mwaka huu. Ntibenda atahamishiwa ofisi
ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kupangiwa majukumu mengine na Gambo
ataapishwa kesho August 19 2016 Ikulu jijini Dar es salaam.
Post a Comment