Kazi ya Rais Magufuli inaendelea na bado anaendelea kuonekana kwenye vichwa vya habari kila wakati kutokana na maamuzi yake kila siku huku akiendelea kuisuka awamu yake ya tano Serikalini kwa kuteua na kufanya mabadiliko ya nafasi za uongozi.
Mpya ya leo ni kwamba Rais Magufuli amemwongozea muda wa kuendelea kuongoza Jeshi la JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange… muda ambao ameongezwa ni mwaka mmoja.
Kingine ni kwamba Rais Magufuli amemteua pia Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa mnadhimu Mkuu JWTZ pamoja na Maafisa wengine wanane ambao wateuliwa nafasi mb
Post a Comment