MATOKEO KWA UJUMLA SHULE ILIYO ONGOZA

HAPA MATOKEO KWA UJUMLA SHULE ILIYOONGOZA,

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza matokeo ya Kidato cha Nne, Maarifa na QT.
Jumla ya watahiniwa waliofaulu kwa mujibu wa matokeo hayo ni 23520 kuanzia Daraja la (I) hadi la (III),  Huku Wasichana waliofaulu ni 7178 na Wavulana ni 16342.
Pia Dk. Kawambwa amesema kuwa waliofaulu kwa daraja la (I) ni 1641, daraja la (II) ni 6495, daraja la (III) ni 15426 na waliofeli kabisa ni 24903.
Shule bora ni pamoja na ST. FRANCIS GIRLS ya Mbeya, MARIAN BOYS ya Bagamoyo, FEZA BOYS ya Dsm na MARIAN GIRLS ya Bagamoyo. Shule zingine ni KANOSA, JUDE na ST. MARY'S.
Kuangalia Matokeo hayo ya Kidato cha Nne 2012/13 [Bonyeza hapa]

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget