AJTC(chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha)CHAVUNJA REKODI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA REDIO KWA KUTOA WANAFUNZI WENYE VIWANGO!!! zaidi soma hapa...
Kaimu mkurugenzi wa Redio Faraja FM Shinyanga Bw Ankazi Kumbemba akizungumza na wanachama wa JBC PICHA NA JAMES ULOMY |
"AJTC IMEVUNJA REKODI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA REDIO HAPA TANZANIA " Kauli hii imetolewa na kaimu mkurugenzi wa Faraja Fm Iliyopo shinyanga katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na club ya waandishi wa habari Arusha JBC
Nalisema kuwa chuo hicho cha uandishi wa habari na utangazaji kimekuwa kikitoa wanafunzi wenye viwango lukuki na hivyo wanapokwenda katika vituo vya redio wanafanya vizuri na kuwashinda wale waliokuwepo na hata wale wanaliotoka katika vyuo vikuu na hata vyuo vingine mbalilimbali.
Bw Kumbemba alisema kuwa huwezi kuwashindanisha wanafunzi wa ajtc na wa vyuo vingine kwani chuo hicho kinawapika wanafunzi wake vizuri na hivyo kukubalika katika vituo vyote.
"Hatuna utaratibu wa kuwaingiza wanafunzi wa fild studio kusoma habari katika mwezi wa kwanza lakini wanafunzi wengi wanaotoka AJTC tunawapa hiyo nafasi kutokana na niwazooefu"
Baadhi ya wakufunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC wakimsikiliza kaimu mkurugenzi Katika hafla hiyo.picha na James Ulomy |
Nimetembeleakatika chuo hichi na nimejionea mwenyewe jinsi wanafunzi wanavyoandaliwa kwani kuna studio nzuri ya redio na Television hivyo naamini wanfunzi huwa wanafanya mazoezi mengi sana kabla ya kwenda fild na hiyo ndio inawasidia kuwa vizuri na tofauti na vyuo vingine na pia karibia vituo vyote vya redio hapa Tanzania kunamwanafunzi wa AJTC hivyo ninawapongeza sana kwa kaazi hii nzuri alisema Bw Kumbemba
Pia aliwashauri wanfunzi kujifunza kutengeneza vipindi vya makala kwani ndio vinahitajika sana katika uandishi wa habari.,,, habari ushirika na james olomy.
Post a Comment
Nami pia nahitaji nafasi naweza kupata?