MSANII MAARUFU WA FILAMU MATUMAINI AREJEA TANZANIA JANA USIKU NA KUPELEKWA MOJA KWA MOJA HOSPTALINI
Mchekeshaji na muigizaji maarufu Tanzania Tumaini Martin maarufu kwa jina la Matumaini aliekuwa anaumwaa bila kupatiwa matibabu yeyote kule nchini Msumbiji Jana jioni alitua hapa nchini kwa msaada wa michango ya wasanii wenzake wa filamu walomuwezesha kuapata nauli ya kufika hapa Tanzania.Msanii baada ya kutua hapa Tanzania alipelekwa moja kwa moja hosptalini huku akiwa amebebwa mgongoni na kusikika akiwaambia waadishi wa habari kuwa hawezi kusimama aongee nao kwani miguu haina ngvuvu . ......................

Post a Comment