VYUO VISIVYOTAMBULIKA VINATUPELEKA WAPI WATANZANIA?
Kwa muujibu wa nacte..
Chuo hiki kilichopo Mbeya hakina usajili wala utambuzi wala usajili wa NACTE. Nilipofika hapa niliambiwa kimesajiliwa na NACTE. je! kwa njia hii wanachuo hao wakimaliza elimu yao wanapelekwa wapii, swali kwa watanzania
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget
Post a Comment