ANGALIA BAADHI YA MATUKIO ILIVYOKUWA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI (AJTC)



BAADHI YA WANACHUO WA AJTC WAKISHANGALIA WAKATI WA KUTANGAZWA MATOKEO

BOX LILILOBEBA KURA ZA WANACHUO 

JOPO LA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI LIKIWA LINAELEKEA KATIKA UKUMBI WA CHUO KUTANGAZA MATOKEO 


HAWA HAPA NDIO MCs WA THE CLASSIC AMABAO WALIHUSIKA KATIKA KUHOST SHOW YOTE


 Rais georg Sirange Akitoa shukrani kwa wapiga kura wake mara baada ya kutangazwa mshindi.

WAGOMBEA WA NAFASI YA URAISI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA




BAADHI YA WAKUFUNZI WAKIWA KATIKA PICHA YAPAMOJA NA WAGOMBEA WA NAFASI YA URAISI.

EXLUSSIVE HUYU HAPA NDIE GEORGE SIRANGE RAIS WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA.


Mkufunzi ambae ni mlezi wa Wanachuo akitoa shukrani kwa wanachuo waliojitokeza kupiga kura za kumchagua Raisi.
HAWA  HAPA NDIO NDIO BAADHI YA VIONGOZI WA SEREKALI YA WANAFUNZI WA AJTC KUTOKA KUSHOTI NI IZACK BONIFACE(KATIBU)WA PILI GEORGE SIRANGE (RAIS)WATATU JULIANA NGELEJA (MAKAMU WA RAISI)na WANNE NI Bw GODWILL (AFISA MAHUSIANO)
.

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget