HALI HALISI YA WANAJESHI WA TANZANIA KULE DARFUR ILIKUA HIVI, JE? NINI MAONI YAKO KAMA MZALENDO WA TAIFA LAKO?

DSC 0001 2a296
Hii ni hali halisi ya wana jeshi wa kitanzania walio uawa kikatili huko Darfur, sasa maoni yako kama mtanzania wa kawaida ni yapi wanajeshi waendeleev kuimarisha Amani kwenye nchi za wenzetu au Warudi nyumbani? Maoni yako kama mtanzania yanaitajika sana ukiuonyesha uzalendo wako....

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget