Al-Bashir akataliwa kupita Saudi Arabia

Rais Omar al-Bashir
Wakuu wa Sudan wanasema Rais Omar al-Bashir amezuwiliwa kuingia katika anga ya Saudi Arabia, na amelazimika kurudi Khartoum.

Saudi Arabia - ambayo ina uhusiano mbaya na Iran - haikutoa sababu ya kuchukua hatua hiyo.Bwana al-Bashir alikuwa njiani kuelekea Iran kwa sherehe ya kutawazwa kwa rais mpya, Hassan Rouhani.
Bwana al-Bashir anasakwa na Mahakama ya Jinai ya Kimataifa, ICC, kwa uhalifu wa vitani.

Mwezi uliopita al-Bashir alipewa heshima ya gwaride nchini Nigeria alipohudhuria mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika. source. BBC

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget