Picha 8 za Baadhi ya Matukio Ya Harusi ya Mkuub wea kitengo cha Taaluma katikaChuo cha Uandishi waHabari na Utangazaji Arush MLM Adson Kagiye Mayagila

                                         
                    Muda mfupi baada ya kufungishwa Harusi katika kanisa la TAG Betheli lililoko kijenge.

Mkurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha  Bw  Joseph Kagiye mayagila akiwa na mkewe

Akiwa na mkewe pia.

Wakiwa katikab pozi Eneo la Elboru Lodge kwa ajili ya picha za kumbukumbu

Bi_ Lesa katika pozi eneo la mnara wa saa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.

MR$MRS Adson mayagila katika pozi la kumbukumbu.

Mpiga picha wa kujitegemea akiweka mambo sawa


MR$MRS Adson mayagila katika pozi la kumbukumbu.


Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget