WAKULIMA WATAKA KUJENGEWA SOKO......................

kulima 21339
Muheza. Wakulima wa Vijiji vya Kwemhosi, Bembe na Mtombuzi, wilayani Muheza mkoani Tanga wameiomba Serikali kuwawekea soko la uhakika la kuuzia mazao yao.
Wakizungumza mjini hapa juzi, wakulima hao walisema wamechoshwa kulanguliwa na watu waliodai ni madalali, baada ya kuwawekea vitisho vya kuacha kupeleka mazao yao masoko ya mjini.souce, mjengwa

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget