Bwana mayagila amefungua mashindano hayo chuoni hapo mapema leo hii kwa lengo la kuandaa waandishi bora pamoja na watangazaji ambao wana weza kujikimu katika kazi zao pindi wawapo,makazini
Akifungua mashindano hayo bwana mayagila amewataka waandishi pamoja na watangazaji kujijengea uwezo wa kujiamini, ili waweze kufanya kazi katika mazingira yeyote,
Katika uzinduzi huo waalimu walianza kuonyesha ubunifu wao kwa wanafunzi akiwemo mr ndege pamoja na mr chiwanga, wakiongoza vipindi vya burudani huku akifuatiwa na mr samboto kwenye habari, ndipo ikatolewa fursa kwa wanafunzi woet,izabreez.blogspot.com iko na wewe na itakujuza hatma ya mashindano hayo.
Post a Comment