Tazama story fupi ya kijana Mlemavu ambaye amepanga safari ya kupanda mlima kilimanjaro..

Na izack mwacha
 GUDWILL LINUS ndiyo jina halisi la kijana huyu ambaye ni mwandishi wa habari pia ni muimbaji wa nyimbo za injili, Muda mfupi uliopita alizungumza na uongozi wa izabreez.com na kusema kuwa amepanga safari yake ya kupanda mlima kilimanjaro bila kujali ulemavu alio nao kwa ni imekua iki,tatiza pale wenzake wanapo amini kuwa kuna baadhi ya vitu ambavyo hawezi kuvifanya ile hali yeye binafsi anaamini kwamba anaweza kuvifanya,  

Muda mwingi Gud will hutumia muda wake kwa kuandika nyimbo zake za injili na hadi sasa Anatamba na albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la SINTOCHOKA MIMI KUNGO'JA, sababu kubwa iliyomfanya kijana gudwill kuamua kupanga safari yake ya kupanda mlima kilimanjaro ni kutaka kuonyesha uwez0 wake kuwa yeye ni sawa na vijana wengine ambao hawana ulemavu wa kiungo chochote.

Izabreez ilitaka kujua njia ambayo gudwillataitumia kupanda mlima kilimanjaro ambapo alijibu kuwa , mungu ni mwema kwa iyo kwa Imani pamoja na nguvu zake binafsi ni lazima Akwee mlima juo

Picha za Gudwill linus akiwa katika pozi chuoni A J T C,


Gudwill katika poz


chanzo cha habari hii izack mwacha

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

designed by izack. Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget